Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Yule akiliamsha dude ni balaa... Unataka nipotee humu auuuuWewe hutaniacha najua utanisaidia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule akiliamsha dude ni balaa... Unataka nipotee humu auuuuWewe hutaniacha najua utanisaidia..
HaaaaaaaaaCuzins,...
Hahahahahhaaa... ukisaidia unapotezwa?Yule akiliamsha dude ni balaa... Unataka nipotee humu auuuu
Haaaaaaaaa
Kumbe Upooo
Weekend hiyoooooo
HahahaHahahahahhaaa... ukisaidia unapotezwa?
Aiseee kweli safari tumepatikana nilikuwa sijui kama tushaianza weekend
Wala sio uwongo, ingekuwa zamani zilee ahaaa ss hivi nngeshajua baada ya mume kazi kuniacha wapi nitakuwa ila ss hivi duuu, walahi sikuwa nakumbuka kama leo IjumaaMujini wanasema pesa imetambaa na haijulikani ilipo.
Mkuu anasubiri atumwe Sokoni apate jero ya bando![emoji23]uzi haujakamilika huu yaani Joseverest hayumo?..duh
Umegoma auuuuAiseee kweli safari tumepatikana nilikuwa sijui kama tushaianza weekend
Mimi [emoji113]naomba uendelee na utafiti uniletee wenye pesa .. nashukuru
Watu wenyewe nimewasahau majina nikikumbuka nitakwambiaUmegoma auuuu
AiseeeeWatu wenyewe nimewasahau majina nikikumbuka nitakwambia
sawa mkuu