Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Ni kosa la Jinai kuhonga, nitakupa chakula unachotaka, nguo inayotaka, ila sio pesa mkononi.

Mchepuko hapaswi kuwa na maendeleo

Sent From Ikulu-Magogoni street
Tena mwambie kabisa ni dhambi kule kwetu kumpa mwanamke heleri afu akawape michepuko yake.

Tena mfahamishe kuwa mangi na pesa ni sawa na mpare na makande

Nimemaliza
 
Back
Top Bottom