Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wanashobokewa au unawashobokea?
Wanashobokewa na nani??
Kwa kifupi sijaona labda useme umekuja na lifekero lako ujifungulie Uzi ujiweke kwenye list.
Mwanaume michango ya maana bana, na siyo idadi ya wadada anao chitchat nao [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57].
Kwenye hiyo list..
Nyani Ngabu
le mutuz
The bold
ONTARIO
Ongeza
The Boss
mshana jr
Mzizi mkavu
Na wengineo wenye michango inayoeleweka,
Sasa baada ya kuweka list yangu nasema hiviii..nawashobokea kwa sababu wana michango ya maana inayojenga.
Uki mind njoo Nipige nipo nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna Hata mmoja hapo
Ungependa kuonja makali ya rungu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom