Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mie wachaga wote wa kiume wajomba zangu maana siwezi kuwala.. angekua mkurya nikimuita mjomba mulika mwizi.
kwani na wewe una wivu mpenzi?
Sio wivu bhanaa... Nimeuliza tuu ujue naenda nao njia moja
 
Mi inabidi nianze kukupenda sasa, lol. Watu wazima wakipendana raha ujuwe[emoji12]



hahahah mie kuna stage nimerukaga!naziona humu sasa! chei cheit! mtu anapanick live kisa mwanamume wa jf hahaha yupo tayar kwa lolote qwi qwi!! ngj nikafungue sabato mie....
 
hahahah mie kuna stage nimerukaga!naziona humu sasa! chei cheit! mtu anapanick live kisa mwanamume wa jf hahaha yupo tayar kwa lolote qwi qwi!! ngj nikafungue sabato mie....
Nipitie twende wote Mbiti[emoji12] [emoji12] [emoji1] magomeni au mwenge?
 
watafutaji huwa hawapigi kelele...
wapo busy, achana na stori za mitandao mama

Sent From Ikulu-Magogoni street
Mbona mnanishambulia jamani? Mada inauliza nampenda nani, unaniambia niache story za mitandao kivipi wakati swali limeulizwa mtandaoni na watu tunaotakiwa kuwataja ni wa hapa mtandaoni?
Nikimtaja wa huku mtaani utamjuaje sasa?
.
.
Pia nimesema nahisi ni mtafutaji means sina uhakika bali ni hisia. I like him anyway..acha wivu taja wako unayemuadmire!

Cc: ONTARIO , Popote ulipo tambua kuwa nakuadmire!
 
Back
Top Bottom