Davidson Akim
New Member
- Jul 7, 2017
- 4
- 1
To do what?
Exactly Eli79 this is the kind of life Sm chooses.... Hatujaanza leo wala kama kusema washasema sanaaaaaaaa washatukana sanaaaaaaaaaa kwani tumebadilika??? Tumepungukiwa labda ??? Waseme watukane sana tu...ruksa.Mbiti, kuna kitu wazungu husema, "live and let live". Kila mtu anachagua maisha anayoyataka, consequences zake sote tunazijua but that's what mahondaw has chosen.
Hivi leo tunaenda kule?[emoji12] [emoji1]
Nimecheka kwa sauti mahakani, mpaka hakimu kashtukaMaskini hapendwi, Maskini Love ataisikia ktk media na kuona kwa macho tu..
Kha kha Kha Khaaaaaaa Nacheka kwa furaha ilioje hapa [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] na nitakushikilia kamwe sikuachiii kizembe zembe Smart911 wangu nakushika kama lubaaa nakulea kama yaiiiiiiiiimahondaw wangu... Siachani nawe... Maana upo moyoni... Anything for you my queen...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
mamaaa! K ina mshipaMimi mbona ata mshipa Wa k haunsimami [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SS122 using JamiiForums mobile app
What a beautiful day i am gonna have today... Like the song... Made me watch it till the end...
Nipo love!.. miss uMdogo wangu upo?
Miss u mingi mingi.