Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mbiti, kuna kitu wazungu husema, "live and let live". Kila mtu anachagua maisha anayoyataka, consequences zake sote tunazijua but that's what mahondaw has chosen.

Hivi leo tunaenda kule?[emoji12] [emoji1]
Exactly Eli79 this is the kind of life Sm chooses.... Hatujaanza leo wala kama kusema washasema sanaaaaaaaa washatukana sanaaaaaaaaaa kwani tumebadilika??? Tumepungukiwa labda ??? Waseme watukane sana tu...ruksa.

Mahondaw wa Smart911
 
mahondaw wangu... Siachani nawe... Maana upo moyoni... Anything for you my queen...
Kha kha Kha Khaaaaaaa Nacheka kwa furaha ilioje hapa [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] na nitakushikilia kamwe sikuachiii kizembe zembe Smart911 wangu nakushika kama lubaaa nakulea kama yaiiiiiiiii

[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
 
Back
Top Bottom