Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Thank you mahondaw wangu for a good night and thank you for a good morning..
Smart na Maho ni jf couple of the year asee, inabidi jf founders wawafanyie jambo at the end of the year. You guys know how to flirt online, nikidhani najua kuflirt kumbe bado "amateur"!!
It's okay my king am here just for you Smart911 wangu. You too darling thank you for everything my king.. You give me happiness Smart911

Mahondaw wa Smart911
 
Nzuri sana mumy.

Hivi Clkey mbona ametuacha kwenye mataa sijui ya Morocco au ya Ubungo mana sio kwa ahadi ile.
Yaani sijui hata nisemeje, nilikuja lkn acha tu ,mamy simu ilipata majanga hadi sasa hivi sina simu ujue, niliangusha ikafariki kifo cha mende na nilkuwa safarini nkashindwa kuwatafuta im so sorry hny
 
Nilijua tu pacha ndio maana nilivyoona like yako moyo wangu ukashutuka. [emoji2] [emoji2]

Hakuna shida mumy usijali. Mzima lakini weye?
 
Smart na Maho ni jf couple of the year asee, inabidi jf founders wawafanyie jambo at the end of the year. You guys know how to flirt online, nikidhani najua kuflirt kumbe bado "amateur"!!
Rafiki unataka kuzua balaa humu. Unataka kushashumbuliwa rafiki jamani don't mention those names na mambo ya JF couple please please rafiki

All in all Thanks for the appreciation Eli79

Mahondaw wa Smart911
 
Hapo ndo nnapokupendeaga unawahi kusamehe, mie sijambo namshukuru Mungu sijui ww
Umeonaeee. Huwa nafurahi kwa kuwa na moyo kama wako pacha.

Mi sijambo kabisa bukheri wa afya tele.

Hivyo usharudi pacha au bado?
 
Dah....
Mie nimejitoa mapemaaaa[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
What i do for you is so little compare to what you give me... And that's love...
No Smart911 you give me more than what I do for you my king that's why I always say that am blessed to have you sweetheart.
Ndomana muda mwingine napataga presha my king I don't want to lose you Smart911 wangu I love you mimiiii
 
Back
Top Bottom