Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ohoooo unataka kuambukizwa uchakaramu eeh!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ujue itabidi nikutafute na mimi uniambukize huo uchakaramu.

[emoji124] [emoji124]
 
upo?umewah pitia maisha haya!

mfano mpo barabran mnakiss,mmekumbatiana viuno.kushow hw deep u r! ndo madogo hawa wnfny hvo humu
Ulichelewa kulala Mbiti, honestly nimewahi kupitia. Ila ni kwa sababu ya niliyekuwa nae.
 
Hahahah!, umenichekesha jamani eti ukaishia kumpongeza tu..[emoji28]
Ile namba nyingine asee, kichwa haswa!
Inabidi uwe umejipanga vizuri kama vile unaenda kwenye Interview kabla ya kujibu cos unaweza kupewa darasa la nguvu ukasahau hata ulicho comment, ukabaki unasema Yes Sir!
Wakati unatakiwa kuandika Essay...lol!

Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent muandika essay mwenyewe alisurrender, alisema atamjibu baadae lakini hadi leo hajajibu. Hapana chezea my dear.
 
Back
Top Bottom