Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wadau naomba tujaribu kuwashindanisha hawa warembo wetu wa humu JF ili tupate atakaetuwakilisha kwenye instagram....Karibuni wadau
Yan kwamba hoja zimeisha had tuanze kupiga kura kutafta mermbo wa kushindanisha insta, be serious basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…