Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Wadau naomba tujaribu kuwashindanisha hawa warembo wetu wa humu JF ili tupate atakaetuwakilisha kwenye instagram....Karibuni wadau
 
Wadau naomba tujaribu kuwashndanisha hawa arembo wetu wa hum jf il tupate atakaetuwakirisha kwenye instagram....Karibun wadau
Utajuaje sex za watu humu, maana humu hakueleweki. Anonymity ya members on JF covers all aspects of them!
 
Kulwa wangu asipotajwa huu uzi utakuwa batili.

Kigori wangu Sakayo pia najua hatokosekana.
 
Back
Top Bottom