Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Ukiona binti mdogo kama wewe unaanzisha tifu na wanaume jua unawashwa kijambio
State agent na gentamycine Hawa madem natamani kuwala v
Screenshot_2019-11-10-02-47-19.jpeg
Screenshot_2019-11-10-02-48-35.jpeg
 
Achana na hizo watu tunahitaji ideas za kujenga bwana, kama unataka warembo nenda instramm
Wadau naomba tujaribu kuwashindanisha hawa warembo wetu wa humu JF ili tupate atakaetuwakilisha kwenye instagram....Karibuni wadau
 
@mahondaw,Ahsante sana mkuu....
Mimi nipo kwa wingi, na ninapatikana sana hapa nyumbani ambapo tunalisukuma gurudumu pamoja na wifi wako.
By the way, Mungu akipenda tutakuja onana na kufahamiana maana bado tunaishi na kikubwa tuombe uzima na afya njema.
Karibuni sana Dodoma, na salimia sana huyo jamaa ambaye huwa anasema "ngoja waje watowe muongozo"... [emoji28]
 
Back
Top Bottom