Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Yani Gudume anajaribu kujificha kwenye shamba la karanga!!

Hizo ids 2 zinafanana kuanzia philosophy ya Gudume hadi symbolism yake!!

Kosa la kiintelligencia comments zao zimefuatana in range of 3 to 2 minutes

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahaha halafu analazimisha awe sukari ya warembo... lol...
hicho cheo kikubwa hakiji kama unachoma mahindi vile [emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Mmh. Patachimbika mwaka huu sio kwa nyuzi za kutajana tajana kila kukicha.
Ila kuna watu wanapendwa sana humu ndio mana wanatajwa.
Lakini kuna atajwaye kwa namna tofauti ambayo inapendeza badala ya kukera, kimsingi anafaa kutajwa kwa kuwa anashawishi watu kumtaji.
Ila si kwa ubaya bali anasifa ya kutajwa.
Hata wewe unahaki ya kumtaja, japo unaweza usiamue, hata Mimi natamtaja japo sipendi akajivuna angawa hana tabia hiyo!!!!!!!.
 
Sawa. Nakusubiri umtaje.
 
Back
Top Bottom