mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaaa..Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba
heheheheh watu mnaopenda avatarHahahaaaa..
Mmoja kupitia PM tulijikuta whatsapp. Ile kupeana picha za uhalisia nikapewa picha kama ya SHETWANI
Sent using Jamii Forums mobile app
one is enough and that will be Capt, Galindas.Nimetajwa karibia na watu wengi hapo sasa nitaonana na wangapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo maneno anakwambia mkiwa wapi mbitiyaza? Gudume hajawah kuwa mstaarab... Yeye ni mtu wa matukio tu,mikosi,bahati mbaya na majanga.
Ingawa wanasema uzuri Upo kwa anayeona(beautiful is on the eye of the beholder)
Pia ingawa wanawake ni wagumu sana kueleza hisia zao kwa mwanaume wanayempenda at the first time ila hubaki Na ukweli huo moyoni Na aghalabu hujaribu kuzieleza au kufikisha hisia hizo kwa
Lugha ya mwili(body language)
Jf wanawake Na wasichana hawajawahi kuwashuhudia muonekano Wa men wengi Wa jf
Ila wakati mwingine hushawishika
Kukubali miadi Na hatimaye kuonana ana kwa ana au hata kutikisana nyavu!
Mwanamke huyu je anakuwa amevutiwa Na mwandiko au intelligence ya mwanaume?
Isitoshe wapo wanawake jf ambao hukili wazi kuwa kuna mwanaume anampenda humu ila anahofia kumuanika
Tangu nimekuwa member hapa kwa ka research kadogo(uchunguzi)
Nimebaini mwanaume wafuatao wanashobokewa sana humu
Samahani nitakao wataja bila idhini yenu ashakumu si matusi
Daby,smart 911
Nyani ngabu
Le mutuz
Saint ivuga
B40
The bold
Ontario
Wakina dada fungukeni mnawapendea nini hawa jamaa maana unaweza kukuta ni wapiga debe tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeSakayo mpenzi wewe ndiye chaguo langu. Tafadhali usiitupe nafsi hii mahala pabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada za siku hizi humu jf ni majanga tu aisee!! Mpaka mada zingine unazionea huruma!
hahaha nataman kukufananisha na katuni ya baba ubaya!heheeh uliwah sema kwenye uzi wako 1 ww muungwana!
Natumai Gudume waalikwa in reality ni ladies ingawa umeingia kwa gia ya anyoneMleta mada ana IDs mbili katika hayo majina. Anapima upepo halafu anakuja kujisupport yeye mwenyewe. Angekuwa serious asingeweza kumwacha mwanaume ambaye anagombewa humu JF gudume. Mwenye sound na story za kitaa,jibaba, pesa ipo na mikuno safi kabisa. Badala yake anajiweka yeye na kuji support.
Mimi sina maneno ni muendelezo ule ule wa chuki za shetani kwangu. Sisi wengine ni kama tuna damu ya kunguni. Wadau 8/8 naomba niwaalike kwangu nitachinja mbuzi nichome. So wale ambao wana nafasi tuwasiliane private nione tunafanyaje.
Gudume=komeo lachuma [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakosaje kumweka GuDume katika listi ya watu ambao ni mtama kwa watoto. Tena yeye ana uzoefu wa miaka mingi katika nyanja hii toka miaka ya 80s huko kwa mujibu wa stories zake.
Huyu jamaa si wa kukosa kwa watu wenye mvuto wa kimapenzi na wababe wa jamiiforums.yeye anasema anaweza tembea na familia yako nzima na kwa wanaume huwapiga na kisha kuwalipa.
Ila ni mnyonge na dhaifu kwa wadada warembo hujikuta tu analegea na kuishiwa nguvu. Umekuwa biased sana....