Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,760
- 3,733
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakuvutiaa ,,semaa tuYaani wewe, haya tu acha nimwachie Mungu.
Wakikuchukua nitachanganyikiwa!!!
Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba
Dada yangu emmyta namkubali sana .bado najifunza kutoka kwake...nampenda sana hata kama huu Uzi unataka wanaume ndo wataje.
Namkubali pia huyo queen wako mkuu! Amejaa busara na nimesoma comment zake nyingi sijawahi kuona katukana au katoa maneno ya shombo kwa mtu! Kifupi anabusara sana! Hongera kwa kumpenda queen mstaarabu emmyta
Kwa hilo siwaungi mkono, yapo mambo kibao nawaunga mkono lakini hili hapana. Siwezi kugawa upendo kwa watu wanne.hahahahaah! waislam wenzetu waliona mbali sana wakakiepuka hiki kikombe hiki!teh teh
Hiyo isikusumbue, Nadhani pia wengine tunaweza pata mantiki hasa ya kuvutiwa na mtu au kumpenda mtu hata ambaye hujamuona.Huku hakuna uhalisia, watu wanatumia avatar sio zao. Utakuta ana sura kama tangazo la chai jaba
Kheeee....???
![]()
Heaven Sent
Ndyo mwanamke bora Zaidi kwangu anagusa zile angle nnazo zipenda she do the things i like na nnapenda anavyo respond.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Heaven Sent
espy
Shunie
nsamaka
babe S
Numbisa...
Kumbe wameambiwa wanaume...samahan mtoa mada
Ni hivii...
mbali na kuwaona kwa macho ya nyama... kuna wanawake hata michango yao tu basi utajua kabisa wamekomaa kiakili na zaidi picha ama comments zao zinatamanisha...
usipokuwa makini utaweza kuzipigia puchu.
Wabillah Tawfiq,
Heaven Sent
espy
Kui
BADILI TABIA
Heaven on Earth
Mrs Van
Geniveros
Farkhina
Evelyn Salt
Sakayo mpenzi wewe ndiye chaguo langu. Tafadhali usiitupe nafsi hii mahala pabaya.Nafikiri kuna la kujifunza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaani wewe, haya tu acha nimwachie Mungu.