Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Dada yangu emmyta namkubali sana .bado najifunza kutoka kwake...nampenda sana hata kama huu Uzi unataka wanaume ndo wataje.
Mwanaume mimi nitamtaja...
emmyta huwa anajua lazima nimtaje....
Sijui kwanini ila ananivutia sana, avatar yake ni ya upole, lkn pia maneno yake yana hekima...
She is my queen hapa jamvini
 
Mwanaume mimi nitamtaja...
emmyta huwa anajua lazima nimtaje....
Sijui kwanini ila ananivutia sana, avatar yake ni ya upole, lkn pia maneno yake yana hekima...
She is my queen hapa jamvini

Namkubali pia huyo queen wako mkuu! Amejaa busara na nimesoma comment zake nyingi sijawahi kuona katukana au katoa maneno ya shombo kwa mtu! Kifupi anabusara sana! Hongera kwa kumpenda queen mstaarabu emmyta
 
Mi sijawai kumuona hata mmoja...zaidi ya avatar zao......
 
Dada Ukhuty
Hana longo longo yeye emoji.
Mpaka wamemtengenezea sinema ya emoji.
Nakutakia kila la kheri.Kama hujaolewa nakuombea upate mme bora.
 
Back
Top Bottom