Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Achana na hizo watu tunahitaji ideas za kujenga bwana, kama unataka warembo nenda instramm
Wadau naomba tujaribu kuwashindanisha hawa warembo wetu wa humu JF ili tupate atakaetuwakilisha kwenye instagram....Karibuni wadau
 
@mahondaw,Ahsante sana mkuu....
Mimi nipo kwa wingi, na ninapatikana sana hapa nyumbani ambapo tunalisukuma gurudumu pamoja na wifi wako.
By the way, Mungu akipenda tutakuja onana na kufahamiana maana bado tunaishi na kikubwa tuombe uzima na afya njema.
Karibuni sana Dodoma, na salimia sana huyo jamaa ambaye huwa anasema "ngoja waje watowe muongozo"... [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…