Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Umaarufu huja kama lengo lako la kwanza si umaarufu juu ya unachokifanya kwahiyo ni mara nyingi umaarufu humfata asiyeutaka.

form 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi ni wa wasichana hakika ngj wafunguke aic kumwambia mtu nakupenda kwa msichana ni WITO! ngoja dada 'zenyu 'tukae kando tukitafuna vipopcorn tartiiiiiiiiiiib!
Mi inabidi nianze kukupenda sasa, lol. Watu wazima wakipendana raha ujuwe[emoji12]
 
Back
Top Bottom