Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Si unajua Sakayo hajui hivi vinywaji vyetu ye anataja tu anachokisikia... Smirnoff nakuachia wewe mama. Ilinitendaga kitu siwez isahau.. acha nipambane na Heineken na Glenfidich tuu..


hahhahahahaha ilikufanyaje?? mie naiongelea ile nyenye chupa ndogo Blak ice(ina maandishi meusi) not yenye maandishi RED! nilipumzika kunywa bora nirudi tu huko!
 
Back
Top Bottom