Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Si unajua Sakayo hajui hivi vinywaji vyetu ye anataja tu anachokisikia... Smirnoff nakuachia wewe mama. Ilinitendaga kitu siwez isahau.. acha nipambane na Heineken na Glenfidich tuu..
Aiseeee Mie nasikiaga tuu balimi
 
Back
Top Bottom