Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
AiseeeeNo..nimepewa zawadi, sipo peke yangu. Ilikuwa laki lkn muosha rungu kaingilia kati. My Lee is there to stay. Ontario namuadmire tu jinsi alivyo..hakuna zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeNo..nimepewa zawadi, sipo peke yangu. Ilikuwa laki lkn muosha rungu kaingilia kati. My Lee is there to stay. Ontario namuadmire tu jinsi alivyo..hakuna zaidi.
Naona ushaazimisha siku ya bia mamy
Ninyamaze tu hakuna namna.Shogaa
Hahaha
Wanaita mubashara mamy.... Zeeka uyaonee
Ha haaaaa alfajiri isije ikakukuta macho kodo.sijanywa muda kweli kweli mamy nipo kwangu najinywea maji tu hapa![HASHTAG]#shilawadu[/HASHTAG] tym... huku namsubiria mume huenda akawahi kurudi mweeeeee!(tunaambiwa tusilale kabla waume zetu hawajarud ndani,tuwafungulie milango,kuwavua viatu,kuwapakulia chakula) cc Heaven Sent ,espy ,Heloo ,Nalendwa
Ndo hivyo my..Aiseeee
UmeonaeeNinyamaze tu hakuna namna.
Punguza povu mamy, maisha yenyewe haya shogaaujinga mtupu(in samias voice)
Yaani nacheka Sina Mbavu mieee.... Ko bado hajarudi...sijanywa muda kweli kweli mamy nipo kwangu najinywea maji tu hapa![HASHTAG]#shilawadu[/HASHTAG] tym... huku namsubiria mume huenda akawahi kurudi mweeeeee!(tunaambiwa tusilale kabla waume zetu hawajarud ndani,tuwafungulie milango,kuwavua viatu,kuwapakulia chakula) cc Heaven Sent ,espy ,Heloo ,Nalendwa
Ha haaaaa alfajiri isije ikakukuta macho kodo.
Yaani nacheka Sina Mbavu mieee.... Ko bado hajarudi...
Hahaha Daaaah
Hiyo kitu inauma balaa... Kila siku unakuwa wa mwisho kulala, mwenziooo yuko nje daaahhahhaah umejuaje shoo na leo ndo wknd! juzi aliwah wah alifika saa6 usk! leo nadhan saa10! alafu hapo hapo jirani yako
unamuona kila siku saa11 jion yupo hom anazungukia nyumba yake! anakusalimia tu shem habari!hehehe natamanigi
nisijibu uulize hujamuona MR MBITI huko njiani!au umuulize mr mbiti hajatoka job??dadek life is not fair kbs!
Aiseeeeteh teh naskilizia mbwa huko nje atanialert tu kuwa tunarud!
Hiyo kitu inauma balaa... Kila siku unakuwa wa mwisho kulala, mwenziooo yuko nje daaah
Same to me. Tukeshe wote tukiwasubiri..teh teh bado mapema lakini, tuendelee kujimwayamwaya hapa.hahhaah umejuaje shoo na leo ndo wknd! juzi aliwah wah alifika saa6 usk! leo nadhan saa10! alafu hapo hapo jirani yako
unamuona kila siku saa11 jion yupo hom anazungukia nyumba yake! anakusalimia tu shem habari!hehehe natamanigi
nisijibu uulize hujamuona MR MBITI huko njiani!au umuulize mr mbiti hajatoka job??dadek life is not fair kbs!
Kwanini usilale? Mi nakoroma vzr, akirudi namfungulia, msosi huo hapo narudi kulala.Hiyo kitu inauma balaa... Kila siku unakuwa wa mwisho kulala, mwenziooo yuko nje daaah
Same to me. Tukeshe wote tukiwasubiri..teh teh bado mapema lakini, tuendelee kujimwayamwaya hapa.
Ha haaa tulia tu. Ndege ni wako..manati ya nini?yeah bado muda sana tu! na hivi kuna maonesho ya 88 uwii!ila ipo siku!
Kwanini usilale? Mi nakoroma vzr, akirudi namfungulia, msosi huo hapo narudi kulala.
Naelewa maumivu yakeacha tu mamy! usiiombee