Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

hhhhhahaha sijawah iskia hyo timu hhhhh!mie namju yeye ni Arsenal fan basi! lakini utaona anaangalia had na za MAN U huko!for wht purpose! mwanaume anaependaa mpira mara nying80% hata upendo anapunguza kwko anahamishia kwenye mampira!hatari sana

Mmmh, kwamba kwa vile napenda mpira naweza kupunguza mapendo kwa wife, I doubt. Mpenzi wa mpira anaangalia machi yoyote regardless, napenda arsenal lakini mechi za man u, man city, Liverpool, Chelsea zote naangalia.

Mpira una nafasi yake na mapendo kwa wife yana nafasi yake pia.
 
Inaonekana mijamaa mingi ya humu inaenda na kauli mbiu, "siangalii sura au umbo naangalia mchomo".
 
Ila anaitwa moneytalk Na mm Nina mdomo tu Wa kuongelea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Si Utamnyamazisha na rungu laukwee wenaye malizana nae kiutu uzima sasa. Mbona ivoo. Haya there you go..nisikuone hapa mpaka kieleweke huko. Zama nae chobingo msomeshe kiume [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Mahondaw wa Smart911
 
Back
Top Bottom