Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Mmmh, kwamba kwa vile napenda mpira naweza kupunguza mapendo kwa wife, I doubt. Mpenzi wa mpira anaangalia machi yoyote regardless, napenda arsenal lakini mechi za man u, man city, Liverpool, Chelsea zote naangalia.

Mpira una nafasi yake na mapendo kwa wife yana nafasi yake pia.
Samahani kaka
Eti kuna timu iko na jina ka user name yangu???
 
Mmmh, kwamba kwa vile napenda mpira naweza kupunguza mapendo kwa wife, I doubt. Mpenzi wa mpira anaangalia machi yoyote regardless, napenda arsenal lakini mechi za man u, man city, Liverpool, Chelsea zote naangalia.

Mpira una nafasi yake na mapendo kwa wife yana nafasi yake pia.

WE WASEMA
 
Back
Top Bottom