Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Nani anakuvutia zaidi hapa JamiiForums?

Kwani umeona mimi nachombezana na mwanaume mwenzangu???...... Mimi nimewaonya baada ya kuona wewe na ke mwenzako mkiwa mnachombezana hapo juu mubashara kabisa mchana kweupe!!
Acha u.s.nge mtoa mada umemwelewa hujamwelewa? Unawaza tuu ngono kwenye kichwa chako. Haya kakojoze mbupu msinyao huko ulale.
 
Hivi unajua kuchombezana kweli wewe? Demu wako ana hasara,huko nako kuchombeza!!!
Ama kweli kuna mapenzi na kuna wabaosindikiza mapenzi
 
Acha u.s.nge mtoa mada umemwelewa hujamwelewa? Unawaza tuu ngono kwenye kichwa chako. Haya kakojoze mbupu msinyao huko ulale.
Ha ha ha ha ha ha haaaa. Nimecheka mpaka nimepaliwa. Brigedia katika cheo chako
 
Hivi unajua kuchombezana kweli wewe? Demu wako ana hasara,huko nako kuchombeza!!!
Ama kweli kuna mapenzi na kuna wabaosibdikiza mapenzi
Demu wake mwenyew anachapiwa.
Kama hayo maneno ya kawaida yamempa Ny.ege unategemea kitandani anaweza kitu zaidi ya kuchapiwa?
 
Hapo sasa...maneno ya kawaida kabisa yamemtia mihemko .
Mzee baba,pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom