Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wewe jamaa una kumbukumbu sana.
Nalikumbuka hilo tukio kwa mbali sana, nakumbuka kipa ni kama alikanyagwa hivi na mchezaji aliyevaa viatu vyenye chuma chini.
Acha wenye kumbukumbu zaidi waje.
Kama siyo Tanzania Prisons sijui, nafikiri ilikuwa Mbeya Sokoine kama sijakosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kati ya AFC Arusha na timu ya jeshi ya Mbeya.
Basi nilijua maji maji na hiyo timu ya jeshi.Ni kati ya AFC Arusha na timu ya jeshi ya Mbeya.
babu shikamoo😊😊😊
Keneth Pesambili alimwumiza na kufa Nazir Mchomba aliezikwa kwao Moshono Arusha.
Kuna story niliwahi kupata kuwa na ushirikina ulihusika
Wewe jamaa una kumbukumbu sana.
Nalikumbuka hilo tukio kwa mbali sana, nakumbuka kipa ni kama alikanyagwa hivi na mchezaji aliyevaa viatu vyenye chuma chini.
Acha wenye kumbukumbu zaidi waje.
Inasemekana Kipa na pesambili Waliruka pamoja juu na kiatu cha pesambili kama kisu kikakata sehemu ya juu ya shingo ya yule kipa..yaani yule kipa alikua kama amechinjwa na kuaga dunia... inasemekana wachache sana waliamini kama tukio lile lilikuwa la kawaida ..walilihusisha na ulozi!..