Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wakuu habari zenu,
Naombeni mnijuze kuhusu tukio la miaka fulani iliyopita, ambapo ilikuwa mechi ya ligi kuu ya Vodacom, golikipa wa timu flani hivi wakati anaenda kucheza krosi ya juu iliyopigwa golini mwake, ghafla alidondoka chini huku akitokwa na damu nyingi kwenye jeraha lilioonekana kama kakatwa na kiwembe, hali iliyopelekea afariki dunia.
Je, golikipa yule aliitwa nani na alikuwa anadakia timu gani? Na vipi uchunguzi ulifanyika kutokana na tukio lile? Wenye kujua karibuni mtujuze zaidi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.