Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Aisee!!Kwani Bongo movie bado ipo?
Unamaanisha shilingi elfu moja!!wakati mwingine huwa mpaka 1000
Kwa ivo kama mtu ana Scene kumi ndiyo anaondoka na laki peke yake na huyo mwingine ambaye nadhani ndiyo wale "maarufu" ndiyo kwa Filamu moja analipwa milioni moja!!??Kuna wanao lipwa 10000 kwa scene moja...Kama muhisika mkuu wapo wanao lipwa mpaka one million kwa movie
Inawezekana walipaji hawalipi Kodi ama malipo yao ni chini ya kiwango cha chini cha mshahara kilichowekwa na serikali.Hua najiuliza waigizaji wa huba wanalipwa ngapi?
Msingi papuchi na MsambwandaHivi hawa wa kike kama kina uwoya mbona wana maisha mazuri kuliko midume
Inategemea na maelewano na mwemye movie but hata laki5 anachukuaKwa ivo kama mtu ana Scene kumi ndiyo anaondoka na laki peke yake na huyo mwingine ambaye nadhani ndiyo wale "maarufu" ndiyo kwa Filamu moja analipwa milioni moja!!??
Huba inamilikiwa na DStv so malipo yanalipwa kilulingana na character yauigizajHua najiuliza waigizaji wa huba wanalipwa ngapi?