Nani analipwa nini kwenye Bongo Movie?

Nani analipwa nini kwenye Bongo Movie?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Nani anajua waigizaji wetu kwenye Bongo Movies wanalipwa kiasi gani kwa kuigiza kwenye Filamu na ni nani ndiye anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi?

Umaarufu wa watu wa Bonge Movies unatokana na kulipwa kwao ama kunatokana na jinsi wanavyoigiza!?
 
Niliangalia series ya wa bongo movie youtube. Kwa zilivyo unaweza ukajua kiasi wanacholipwa.

Tamthilia na movies zao hazina hata sponsors muigizaji ana vaa nguo moja katika kila movie na kila episode 😂 mimi nadhani wanalipwa kuanzia 10,000-20,000 kwa pesa ya TZ kwa sababu wanatumia pesa zao wenyewe kutengeneza movies na sio sponsors.

Kwa ufupi kuwa muigizaji bongo ni kupoteza muda tu 😂
 
Kuna wanao lipwa 10000 kwa scene moja. So anakupigia jumla ya scene ulizo mpa kwenye movie ndo unapata totally ya pesa yote kwa movie moja. Hakuna malipo kamili. Ila Kama n msanii mwenye jina kubwa na umemueka Kama muhisika mkuu wapo wanao lipwa mpaka one million kwa movie
 
Hua najiuliza waigizaji wa huba wanalipwa ngapi?
Inawezekana walipaji hawalipi Kodi ama malipo yao ni chini ya kiwango cha chini cha mshahara kilichowekwa na serikali.

Na viwango vya malipo vya wasanii wetu inawezekana hakiwekwi wazi kwa kuwa walipaji nao wanalipa kwa kudunduliza kwa kuwa huwa hawana bajeti ya kutosheleza utengenezaji wa filamu zao.
 
Ray ndio atakuwa anaongoza kulipwa, na labda wa chini kabisa ndio kina ebitoke.
 
Umaarufu wa Wasanii wa Bongo Movie unatokana na uigizaji wao!!

Ingawaje kwa sasa tunawakejeli kwa sababu tuna access ya kupata movies za aina yoyote kwa gharama nafuu, enzi za VHF na VCD ambazo hatukuwa na option nyingi hawa ndio walikuwa kimbilio letu!

I wish siku moja na wao wakafanya makubwa zaidi lakini wana changamoto nyingi sana!! I hope sooner than later na wenyewe watafanya kile walichofanikiwa Bongo Flavor kukifanya.
 
Back
Top Bottom