Nani analipwa nini kwenye Bongo Movie?

Inategemeana na ulivyo vigezo na mashariti kuzingatiwa
 
Asa kama tamthilia ya Maneno ya kuambiwa,ipo episode ya 84,kwa haraka haraka mtu kama afande killer ameshiriki zote mpaka hii ya 84,

Ana jumla ya laki name na elfu arobaini yaani kila episode ni elfu kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hawa wa kike kama kina uwoya mbona wana maisha mazuri kuliko midume
Kifupi wasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza...wengi wao ni choka mbaya kuliko mbaya yenyewe...hao kina uwoya na wenginei unaoona wanaishi kitajiri..wanakuwa wanafadhiliwa na wenye madanga yao..wakishashughulikiwa usiku kucha wanaachwa..

Mfano Mdogo..wema kulala naye kwa usiku mmoja ni milioni 1, na anataka uumepeleke sehemu zenye kujikwatua..akifija huko maselfee kibao plus mambo ya kuuza sura..kesho anapost Instagram kuwa maisha yake mazuri
 
Wema huyu wa sasa hata laki sitoi, yule wa enzi zile sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani anajua waigizaji wetu kwenye Bongo Movies wanalipwa kiasi gani kwa kuigiza kwenye Filamu na ni nani ndiye anayeongoza kwa kulipwa hela nyingi?

Umaarufu wa watu wa Bonge Movies unatokana na kulipwa kwao ama kunatokana na jinsi wanavyoigiza!?
Ngoja waje.
 
bunduki inatumika kuanzia mwanzo wa movie hadi mwisho bila hata kubadilisha magzn,HV hizo risasi haziishi
 
Huyo watu wanamtafuna mpka kwa kilo 3 plus mkopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…