Nani anamdai Marehemu Lemutuz?

[emoji3][emoji3][emoji3]Zile pisii alikuwa anakula kweli???
Mmh sidhani kwa ugonjwa wa moyo aliokuwa nao angewezaje jamani, labda alikuwa anapiga picha ili watu waone na yeye anaweza kumbe hamna kitu
 
Nime iona pia jamaa ni bwege kweli ange sema tu namdai tali wasilisha kwa familia yake .lenyewe lime funguka kama lina jitetea hadi likawa lina onesha kwa kidole wtf
 
Nime iona pia jamaa ni bwege kweli ange sema tu namdai tali wasilisha kwa familia yake .lenyewe lime funguka kama lina jitetea hadi likawa lina onesha kwa kidole wtf
Mbona ameelezea vizuri aliyopitia le mutuz. Mpaka alivyokuwa anazuiliwa kuingia nyumbani na walinzi saa sita usiku, mpaka akaamua kumpa hifadhi.
 
Ongeza nawajane wake aliowaacha ukiwemo nawewe
 
Kwani kudaiwa ni kosa ndg
 
Kwani angeenda kusema ndani kwenye kikao cha familia wangekataa au???
Sasa hyo ni stori ambayo inaonyesha urafiki wake na marehemu ilikuwaje sasa ubaya Uko wapi?? Kwani kasema naomba gari yangu familia mnirudishie...??
 
Sasa hyo ni stori ambayo inaonyesha urafiki wake na marehemu ilikuwaje sasa ubaya Uko wapi?? Kwani kasema naomba gari yangu familia mnirudishie...??
HAPANA ila hakukua na haja ya kusema suala la nyumba na gari kamuazima mbele ya umati ni kumdhalilisha marehemu laiti angekuwa ni ndugu yako ungeelewa hili.
 
Unaambiwa sema sasa hivi au rest your case for good. Sasa we hapo utafanyaje? Mimi kwenye mambo ya uchumi usinitanie, nasema hata mbele ya kamera ili nipate changu, hata kunivua vyeo sijui nini lakini kwanza nipate changu.
 
Natengua kauli... kumbe Juma Pinto hajaongea kitu chochote kibaya ni alikua anaelezea ukaribu aliokua nao na marehemu hadi alivyopata umauti. Le Mutuz mwenyewe alikiri alirudi bongo hana kitu.
Kitu nilichojifunza hapo ni kua Le mutuz zile mapicha na wabebez na kula raha 5 star hotel ilikua anatuliza maumivu mazito aliokua nayo moyoni. Le Coco banga alikua na stress kubwa kwahio alijifariji kwa wabebez. RIP mwamba, mwendo umeumaliza. Mental healthy is real guys.!!
 
William hata kama ni kusaidiwa haikuwa kama yatima. Hao washkaji zake wanajua influence na akili yake ndio maana walimuweka karibu na kumpa vitu mbalimbali.

Kama kupewa Noah na apartment ni rahisi jaribu wewe upewe bure gari na nyumba for more than 10 years. William amewasaidia wanasiasa wengi gizani kupitia uzoefu na influence ya mitandaoni hasa humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…