Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
1. Je, ni Watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha, tunalipia miamala?

3. Wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5. Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba, tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

1728044990472.jpeg

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi ?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE .

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR View attachment 3115078
Wanasemea direct tax..alafu imagine analalamika yeye ndio mwenye mfumo na mamlaka..
Sasa sijui tufanyaje sie wananchi.
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR View attachment 3115078

..yeye mwenyewe kwa nafasi yake kama Raisi halipi kodi, halafu anatufokea masikini na wanyonge wa nchi hii.
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

View attachment 3115137
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Anadanganywa kwa vile amechagua kudanganywa
 
Raisi anaongelea direct tax, Indirect tax kila mtu analipa.
 
Better Question Hio Mikopo, Matozo, na kila Mtanzania anapotumia bidhaa na services mnazokusanya zinafanya nini ?

Iwapo kila watu milioni tisini na tano wanapotumia bidhaa na huduma nyie mnakusanya je mnazifanyia nini ? (Iwapo hata kuleta ajira zenye ujira sio kazi yenu)? No wonder zinapatikana za kugawa hapa na pale kila mnapojisikia...
 
Kenya walichagua makamu wa Rais mvuta bangi wanataka kumtoa.
Sisi huku sasa
Sisi huku makamu wa rais ni padri havuti bangi mzee wa watu hana makuu wala hana ukabila

USSR
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Punguza jazba.

Kuna direct taxes na indirect taxes. Indirect taxes mpaka mtoto mdogo analipia maana ni consumer based (mtu anapotumia kitu au bidhaa.)

Direct taxes ni predictable na inalipwa moja kwa moja. Hiyo wapiga kelele wengi hawalipi
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
You are right.. Hakuna Mtanzania asiyelipa kodi

Hata vijana wanaoBETI wanalipa kodi maana kila mkeka una Witholding Tax included kwenye Gross win...
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR View attachment 3115078
Mkuu hapo mkuu wa nchi ameongelea kundi linalolipa moja kwa moja bila kupitia kwa tax withholder,makundi hayo ni kama wafanyakazi kupitia mishahara(paye tax) na wafanyabiashara wakubwa (corporate tax) na wenye uelewa wachache ambao wanapolipa kodi au kununua bidhaa hutaja tin number zao ambazo mashine za mauzo za wafanyabiashra hutoa amount na jina directly kwa hiyo unaponunua mafuta kwenye vituo vya mauzo au bidhaa dukani wanapotoa receipt za efd ni muhimu kuwatajia tin number yako hapo utapata receipt yenye kusoma jina lako.

Watu wengi wamekuwa wakipewa receipt zenye amount sawa lakini ukiangalia tarehe na muda vinapishana na wewe wakati unanunu/lipia bidhaa.

Ni mihimu kwa watanzania kutafuta tin number ambazo hutolewa bure
 
1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?

2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?

3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?

4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?

5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi

6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.

NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara

USSR

Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Hivi VAT inamaana gani kuwekwa kwenye bidhaa?

Kama hawatambui malengo na mchango wa Vat katika kukusanya kodi, basi kodi hiyo ya kichwa inayotozwa kwa kila mwananchi iondolewe iwapo haitambuliwi wala kuheshimika!
 
Back
Top Bottom