johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kura Moja 🐼Kenya walichagua makamu wa Rais mvuta bangi wanataka kumtoa.
Sisi huku sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura Moja 🐼Kenya walichagua makamu wa Rais mvuta bangi wanataka kumtoa.
Sisi huku sasa
Umesikia akisema mambo ya direct na indirect ,unaweza ukanifafanulia kwa weledi kuwa kabla ya technology ya kulipa kwa simu kama mafuta ,kodi ya miamala, LUKU na MAJI hiyo indirect walikuwa wanalipaje .Punguza jazba.
Kuna direct taxes na indirect taxes. Indirect taxes mpaka mtoto mdogo analipia maana ni consumer based (mtu anapotumia kitu au bidhaa.)
Direct taxes ni presictable na inalipwa moja kwa moja. Hiyo wapiga kelele wengi hawalipi
Kama aliweza kukubali kuwa kile kilikua kikao cha CHADEMA na Yale yalikua maongezi Yao unategemea nini?1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?
3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Hata nikinunua vocha ya kero wanakata VAT leo waseme hatulipi kodiHivi VAT inamaana gani kuwekwa kwenye bidhaa?
Kama hawatambui malengo na mchango wa Vat katika kukusanya kodi, basi kodi hiyo ya kichwa inayotozwa kwa kila mwananchi iondolewe iwapo haitambuliwi wala kuheshimika!
Sijui kuhusu uthabiti wa namba alizotoa, lakini nafikiri point kubwa ni kwamba Watanzania wengi sana, majority, hawalipi kodi wanavyotakiwa kulipa.1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?
3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Value Added Tax (VAT) si kila mtanzania analipa , kuna mtu anaweza kukwepa kwsbb kila bidhaa utakayonunua kuna VAT1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?
3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Indirect taxes ni hizo Kodi za mauzo zamani ziliitwa sales taxUmesikia akisema mambo ya direct na indirect ,unaweza ukanifafanulia kwa weledi kuwa kabla ya technology ya kulipa kwa simu kama mafuta ,kodi ya miamala, LUKU na MAJI hiyo indirect walikuwa wanalipaje .
Kwa uelewa wako kiduchu kwa civics ya form two unadhani LUKU sio direct?
USSR
shida yako umevimbiwa makande1. Je ni watanzania wangapi wanalipia LUKU ya umeme kuna kodi mle na kila siku tunalipa ?
2. Tunaambiwa watumiaji wa simu tuko zaidi milioni 29 na kila siku unanunua vocha , tunalipia miamala?
3 .wangapi wanatumia magari yote yanalipiwa kodi na mafuta ukinunua unalipa kodi?
4. Tunalipa kodi tukilioia visimbuzi kila uchawi hiyo sio kodi?
5.Tunaonunua bidhaa kwa lipa namba ,tunasafirisha bidhaa kutoka eneo moja hadi lingine bado tunalipa kodi
6. Mishahara yote nchini inakatwa kodi PAE.
NI UKWELI KUWA VAT na PAE tunalipa kila siku na kila mara
USSR
Pia soma:Rais Samia: Tunachokusanya hakiendani na idadi ya watu na shughuli za uchumi zilizopo. Pesa inaenda kwenye mifuko ya watu
Hizi indirect tax zinakuwa kubwa sababu direct tax zinalipwa na wachache mno. Watu M2 ni wachache mno, lazima bei za vitu ziwe juu kupitia indirect tax.Indirect na direct zote ni kodi tu hakuna jipya hapo mimi nilinunua umeme naona VAT pale naumia kusikia silipi kodi
USSR
Watanzania wengi ambao hawampendi Samia hata akiongea point ni vigumu kukubali.Anaongelea registered taxpayers.
Hao wapiga kelele wasiolipa Kodi ni pamoja na yeyePunguza jazba.
Kuna direct taxes na indirect taxes. Indirect taxes mpaka mtoto mdogo analipia maana ni consumer based (mtu anapotumia kitu au bidhaa.)
Direct taxes ni predictable na inalipwa moja kwa moja. Hiyo wapiga kelele wengi hawalipi
Hata kama ni direct tax, bado milioni 2 ni ndogo sana. Na isitoshe, unaposema direct tax maana yake nini? Mama akienda kununua mafuta ya taa kule kijijini Chiungutwa analipa kodi au sio direct tax?Raisi anaongelea direct tax, Indirect tax kila mtu analipa.
Mama akinunua Mafuta analipa indirect taxHata kama ni direct tax, bado milioni 2 ni ndogo sana. Na isitoshe, unaposema direct tax maana yake nini? Mama akienda kununua mafuta ya taa kule kijijini Chiungutwa analipa kodi au sio direct tax?
Umesema vizuri kabisa kwamba watanzania wengi hawalipi Kodi ila ulichosahau ni kwamba viongozi wetu ndio wanaongoza kwa kutokulipa Kodi mfano mzuri ni wabungeSijui kuhusu uthabiti wa namba alizotoa, lakini nafikiri point kubwa ni kwamba Watanzania wengi sana, majority, hawalipi kodi wanavyotakiwa kulipa.
Unaweza kuona unalipa kodi katika kununua umeme kwenye Luku, kumbe hiyo bei ya umeme unayolipia kodi imekuwa subsidized na serikali kwa kutumia kodi za wenye viwanda wachache. Kimsingi hapo serikali inatumia pesa za watu wachache wenye viwanda kukulipia wewe umeme wako.
Na unaweza kukuta hizo kodi nyingine zote unazolipa kwenye manunuzi na PAYE hazifikii gharama za huduma za jamii kama barabara, kuunga umeme nchi nzima etc.
Na watu wengi hawana shughuli rasmi kama ajira au biashara na hivyo hawamo sana kwenye mfumo wa kodi, wanashikwa kwenye kodi za mauzo tu.