Nani anamdanganya Rais Samia kuwa kati ya Watanzania mil 65, ni milioni 2 tu wanaolipa kodi?

Hata kama ni ya moja kwa moja bado hiyo namba sio sahihi. Wafanyakazi walioajiriwa sekta binafsi na serikalini wanalipa Kodi ya moja kwa moja kuoitia PAYE. Unataka tuseme wafanyakazi walioajiriwa nchi hii wapo chini ya milion 2?
Sijui, sina data ila kamishina mpya kama sikosei alisema ni M2 na raisi naye kasema M2, wewe unasema wangapi?
 
Kilongola ni nani
 
Raisi anaongelea direct tax, Indirect tax kila mtu analipa.
Afafanue basi aeleweke vinginevyo ukweli ni kwamba almost kila raia analipa kodi.
-Kwani hiyo Indirect Tax inakwenda wapi au inafanyiwa shughuli zipi? Kwanini aongelee Direct Tax peke yake na aache Indirect Tax wakati zote ni fedha wanazokamuliwa wananchi 'supposedly' zinawekwa Hazina.
 
Mwijaku
 
sio haki kwa bibi kizee akinunua mkate alipe kodi, ila inabidi alipe sababu nchi ina walipa kodi wachache sana wanaolipa direct tax. Ikitokea direct tax walipa kodi tukawa wengi pengine hizi kodi nyingine zikapata pa kupumulia maana ni nyingi mno.
 

Wewe mtoa mada kweli ni mtumishiwa umma, usiyejua kwamba kodi ulizo zitaja ni income kiduchu sana kwa TRA.
Ingia biashara uone wale wanaolipa kodi wana toa je.
Na ingia biashara nawe uchangie kikamilifu
Mkuu , no research no right to sppeak.
Mtu una mawazo kuwa kwa vile unapanda dala dala , una simu, umeajiriwa na unalipa kodi ya PAYEE, unanunua bidhaa na kulipa kutokana na mshahara wako bidhaa, kodi kutoka na shughuli hizi ni kiduchu sana na huwezi hata kulipia hata mishahara ya wafanya kazi wa serikali, achia mbali miradi maendeleo ya nchi.

Watanzia ni mafundi wa kuchonga , lakini hawajui kufuatilia facts behind.
Work force ya watanzania walio ajiriwa kulinga na data za World Bank, ni karibia 23,5 million , wanaolipwa mishara au ujira karibia maximum ya 14%, namaba ambayo inakaribiana na alilosema Mama Samia(2-3million).
Kodi kutoka na mishahara yao ni kiduchu sana.

Watanzania hawapendi kujishughulisha na kuingia biashara kubwa zenye pato kubwa na vile vile kodi kubwa.
Tusiwe wavivu kudai haki, wakati hatuchangii kinachostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ