Nani anamjua huyu msichana?

Unampa asilimia ngapi???????/
 
Mzee mwenzangu wewe unapenda nini? Mie napenda sana sura kwa kweli na awe modo kweli kweli matipwa tipwa siwawezi
Danh aiseh sura kwanza tabia tutavumiliana.. Tunakoelekea huko wanawake watakua too selective so ni kumuandalia mtoto wako mazingira mazuri mapema.. [emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mwenzangu wewe unapenda nini? Mie napenda sana sura kwa kweli na awe modo kweli kweli matipwa tipwa siwawezi
Kama mimi tu... Japo napendelea zaidi blonde kuliko white... Mimi ni kijana mdogo tu kiongozi.
 
Unaweza onga shilling ngapi??

Attachments

  • 1582307911464.png
    249.3 KB · Views: 3
Mtoto mzuri kama haachii mashuzi [emoji23][emoji23][emoji23] njoo bongo unakuta demu sura ngumu kama sakafu ya nzege.. Lakini nyodo kama zote, aiseh unakuta demu kama huyu kuna mtu anamnyima usingizi, walahi kuna watu hata wasipoiona pepo watakua wameshakula mema ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Raia wa Ghana japo pia anakuwaga Nigeria anaitwa Kirachaana! ila mijanaume mingi inatumia picha zake kutapeli watu
 
Yani huyo jamaa anayemnyima huyu demu usingizi anatakiwa asomwe shuleni kama mwanahistoria si mchezo
 
Ni Raia wa Ghana japo pia anakuwaga Nigeria anaitwa Kirachaana! ila mijanaume mingi inatumia picha zake kutapeli watu
Huyo ndo anawachanganya wanaume wa west Africa...Hamna visu kule itakuwa
 
Msidanganywe na nguvu ya make-up...mwanamke yoyote akipaka make-up anakua kisu...akishaivua sasa unaweza kimbia mita 100
 
Huyu angekuwa simu, unafikiri angekuwa simu ya kampuni gani?

Msidanganywe na nguvu ya make-up...mwanamke yoyote akipaka make-up anakua kisu...akishaivua sasa unaweza kimbia mita 100

Ni kweli ila kwa huyu uzuri anao, hata asipokuwa na make up anavutia

Ni Raia wa Ghana japo pia anakuwaga Nigeria anaitwa Kirachaana! ila mijanaume mingi inatumia picha zake kutapeli watu

Kuna watu wanasema hana maajabu eti ni nguvu ya makeup kuna ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…