Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Danh aiseh sura kwanza tabia tutavumiliana.. Tunakoelekea huko wanawake watakua too selective so ni kumuandalia mtoto wako mazingira mazuri mapema.. [emoji125][emoji125][emoji125]Mzee mwenzangu wewe unapenda nini? Mie napenda sana sura kwa kweli na awe modo kweli kweli matipwa tipwa siwawezi
Kama mimi tu... Japo napendelea zaidi blonde kuliko white... Mimi ni kijana mdogo tu kiongozi.Mzee mwenzangu wewe unapenda nini? Mie napenda sana sura kwa kweli na awe modo kweli kweli matipwa tipwa siwawezi
Ni Raia wa Ghana japo pia anakuwaga Nigeria anaitwa Kirachaana! ila mijanaume mingi inatumia picha zake kutapeli watuHuyu dada Facebook anatumia majina tofauti kama Dayna Faby Kindole or Mwanaid Agripina na kuna account zaidi ya kumi zenye picha zake. .
I think she might be a musician, an actress or just someone famous. I am very interested just to know who she is nothing more, anyone who knows do tell. .
Nawaza tu: Unaweza jikuta mchawi bila kupenda, ukashangaa tu umekuwa mchawi unakula nyama za watu mchana wenzako wakikukaribisha "njoo tule nyama ya mbuzi", unasema "ohh mie silagi nyama za mbuzi zina kishombo" kumbe umeshiba nyama za watu. .
Ushauri tu: Kuliko kutafuta demu mzuriiii bora ujipatie KIBONGE, kwenye jokofu nyumbani unaweka mapocho pocho manyama majuisi na makachumbareeee yani huwazi anakusaliti wala nini. Sasa sana akikusaliti kala mapaja ya kuku yote uliowajaza kwenye jokofu. .
Kuna mdau kanijibu kuwa anaitwa KIRACHAANA Huyu ni nani? Nawashukuru wadau walionijulisha nilitaka kumfahamu tu..
View attachment 1362175View attachment 1362176View attachment 1362177View attachment 1362178View attachment 1362179
Mtoto mzuri kama haachii mashuzi [emoji23][emoji23][emoji23] njoo bongo unakuta demu sura ngumu kama sakafu ya nzege.. Lakini nyodo kama zote, aiseh unakuta demu kama huyu kuna mtu anamnyima usingizi, walahi kuna watu hata wasipoiona pepo watakua wameshakula mema ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... Mapenzi upofu.Hahahah kila mtu ana anachopendelea, kuna jamaa mmoja anamkubali sana mama Rwakatare, moyo ukichagua si mchezo
Huyo ndo anawachanganya wanaume wa west Africa...Hamna visu kule itakuwaNi Raia wa Ghana japo pia anakuwaga Nigeria anaitwa Kirachaana! ila mijanaume mingi inatumia picha zake kutapeli watu
Ila we mzee sema umemuelewa sana tu sio kwa kumtetea hukoHuyo huku kwetu kumbe ni wembe??