Nani anamkumbuka James Dandu (Cool James)?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.

Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.

Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.

James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.

IMG_7886.jpg

Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.

Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.

Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.

IMG_7887.jpg
 
View attachment 1869736

Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.

Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.

Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.

View attachment 1869737
Ana mchango mkubwa ktk kiwanda cha muziki wa bongo
Na ndiye alikuwa muasisi wa idea ya Kilimanjaro music awards kama sijakosea
 
Nakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.

Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.

Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.

James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.

Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.

Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.

Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.

Namkumbuka sana pia namuelewa sanaaaa
 
Miaka 18

Miaka 18 now kabaki mifupa tu huko chini
 
Yeah!! Ni kweli ila kuna ngoma ya Calorina ilikua kiboko sana. Mario ni nyimbo ya Franco aliimba na vocal reader wa Franco Madilu system.
 
Nakumbuka ilikuwa usiku wa kuamkia jumamosi,kipindi hiko TBCccm ikiwa bado chombo cha umma ilikuwa inaitwa TVT usiku wa ijumaa alikuwa anahojiwa akawa anazungumzia malengo yake kwenye music wa nyumbani Tanzania asubuhi yake saa 12:30 kipindi cha nipashe Radio One nasikia jamaa amepata ajali na gari yake Daihatsu Rocky amefariki.

Binam yangu tuliyekuwa tunaangalia nae usiku huo nilipompa taarifa hii alizimia akaenda kuzindukia hospital,ilikuwa huzuni sana.
 
Back
Top Bottom