mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
MamuuIle ngoma aliyoirudia ya franco ni bonge moja la ngoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MamuuIle ngoma aliyoirudia ya franco ni bonge moja la ngoma.
inaonekana jamaa alideki sanaaa 😎😎Hahahaha denda lilipigwa kiustadi sana hilo
Hahahaha ni noma sanainaonekana jamaa alideki sanaaa 😎😎
Nature kwenye Inaniuma sana anaimba "Sinta na mwenye gari mmoja si walinyonyana,ndimi nje nje mpaka kupata ajali wakati mumewe yu safari,nikikuuliza bwana we wana wivu hao"Kwani kati ya kifo cha jamaa na ngoma ya inaniuma saana kipi cha kwanza.. Na nature na sinta walianza michezo yao kipindi gani?
Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyumaYah Sinta kwa kizazi cha 90s mwishoni na 2000s mwanzoni alikuwa mkali.
Mkali hasa,hivi yupo wapi sasa?atakuwa amezeeka sasa
Buzz ni bomba au mobitelWakati wa cool James mtoto wa dandu kulikuwa na mtandao wa simu unaitwa Tritel na huu wa tigo ulikuwa unaitwa buzz
Buzz ni bombaWakati wa cool James mtoto wa dandu kulikuwa na mtandao wa simu unaitwa Tritel na huu wa tigo ulikuwa unaitwa buzz
Haha makeup zinawadanganya na hizi pics wanazopiga na camera 360 but ukifanikiwa kumuona ndo ameamka kwao asubuhi utakimbia.Nachojiuliza enzi hizo huyu Elizabeth Michael tayari alishakuwa muigizaji ingawa alikuwa bado mdogok kidogo tulikuwa tunalingana umri. Ila nashangaa huyu Lulu yeye mpaka leo yupo under 25 nimeshampiga gap kubwa la age sasa sijui mwenzangu anakua kurudi nyuma