Ana mchango mkubwa ktk kiwanda cha muziki wa bongoNakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.
View attachment 1869736
Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.
Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.
Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.
View attachment 1869737
Namkumbuka sana pia namuelewa sanaaaaNakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.
Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.
Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.
Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.
Miaka 18 now kabaki mifupa tu huko chiniNakumba miaka 90 tunaishi maeneo ya Sinza au utapenda kusema Sinza kwa Wajanja.
Kulikuwa na baa maarufu sana kama Vatican City, Sangara na n.k
Ila sehemu hizo miziki ya James Dandu uwezi kukosa kusikia imepigwa.
Kama kile kibao kilichotamba sina makosa akiwa ana rap.
James Dandu baada kuishi nje sana Uswidi (Stockholm) alikuja na mziki ambao kama mtapata vibao vyake vilikuwa vya kipekee sana.
Alifariki 27 Agosti 2002, Dar es Salaam.
Kitu kama ajari ya gari hivi. Miaka 19 nimemkumbuka baada ya pita pita Youtube kuona nyimbo zake.
Aliacha mke na watoto wawili
Ila mke wake sijui yupo wapi siku hizi.
haya mkuu..Jamaa aliingia miziki ya kiroboto,
Ukifatilia ile ajari ya gari utagundua kiroboto alitumia mbinu mbadala
Huyu Sinta naye, Okwi naye alipitaalipiga Sinta huyu 😎
watu wanapigaaa tuuu, hawana hurumaHuyu Sinta naye, Okwi naye alipita
Mnywamwezi kama huyu anaachaje kupiga Sinta mzee baba!alipiga Sinta huyu 😎
Sinta alikuwa wamoto kama alivyo Paula Kajala kwa sasa! We unategemea Rayvanny atakula mwenyewe paleHuyu Sinta naye, Okwi naye alipita
Eeh namba A sahizi full kukongoloka😅😅😅Yah Sinta kwa kizazi cha 90s mwishoni na 2000s mwanzoni alikuwa mkali.
Mkali hasa,hivi yupo wapi sasa?atakuwa amezeeka sasa
Hahahaha denda lilipigwa kiustadi sana hilodenda sijui lilikuwaje hilo hadi gari ika ona wivu wa kutoka kwendaaa..