Late Gypsy the madam? Au yupi unamuelezea?Kulikuwa na mama mmoja Arusha aliye zaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983......kama wafahamu tujuze tafadh'ali.
Ni kweli alukuwepo na Mwanae yupo USA kwasasaKulikuwa na mama mmoja Arusha aliye zaa na Bob Marley.....Mara kwa mara alionekana ofisi za ESAMI .....sijui kama bado yupo chuga au aliondoka mara ya mwisho tulikuwa nae hapo ESAMI katika sikukuu za Christmas mwaka 1983......kama wafahamu tujuze tafadh'ali.
ESAMI ndipo nilipomuona kulikuwa na sikukuu ya Christmas 1983....si kwamba aliishi hapo.Ni kweli alukuwepo na Mwanae yupo USA kwasasa
Alikuwa akiishi barabara ya kuelekea Kijenge kutokea Philips au Impala sio ESAMI
Kijana ni Mtu mzima hasa kwasasa...ametuzidi sana