Nani anamla nani kwenye sex? πŸ˜‹

Ipo hivyo
 
Sikuhizi nyuzi za kipumbavu zinatrend sana hapa imefika page ya 45 wamejaa vidume tu hapa na sharubu zao wanashoboka
Toa mfano wa uzi ambao sio wa kipumbavu ambao wewe umepost halafu ha uja trend

Huu uzi sio wa kipumbavu ukisoma vizuri kuna swali na linaeleweka

Cha mwisho angalia hili ni jukwaa gani kabla ya kuleta makasiriko period!
 
Kasomee huu uzi utakufaa
 
😁😁 nyuzi zako nyingi hazijawahi kushughulisha akili yangu ni za kawaida sana, kwa Avarage mind pekee.
 
😁😁 nyuzi zako nyingi hazijawahi kushughulisha akili yangu ni za kawaida sana, kwa Avarage mind pekee.
Nimeshaelewa sasa makasiriko yako yanatoka wapi
Sasa kama unajua nyuzi zangu hazijawahi kuku shughulisha kwanini bado unakazana kusoma ?

Au nimekuchukulia bwana?

Nina muda kwa ajili yako nataka nikutibu hayo maradhi ya husda
 
Aisee, ngoja niutazame huu mtanange nikiwa live kabisaa
 
😁😁 nyuzi zako nyingi hazijawahi kushughulisha akili yangu ni za kawaida sana, kwa Avarage mind pekee
Nimeshaelewa sasa makasiriko yako yanatoka wapi
Sasa kama unajua nyuzi zangu hazijawahi kuku shughulisha kwanini bado unakazana kusoma ?

Au nimekuchukulia bwana?

Nina muda kwa ajili yako nataka nikutibu hayo maradhi ya husda
Nisamehe dadaπŸ™ comment section iko free kila mtu anakoment anavyojisikia, To ignore is free too.
Mimi ni mwanaume lakini nakemea sana uasherati na uzinzi kwasababu unaharibu Ndoa, vijana,watoto na Dunia kwa ujumla.
 
Nyuzi zako za maana moja wapo ni hizi ?
Nimepitia post zako
Na nikijilinganisha mimi na wewe sipendi kujisifia ila leo acha nijisifie yaan huna hadhi hata ya ku battle na mimi labda kama unataka Kiki

Mimi sipendi malumbano kabisa ila sipendi mtu avuke mipaka yake

Naomba tuheshimiane
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…