A
Anonymous
Guest
Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia, anakuwa na watu wake wa protocol.
Kwa wanaomjua Mwaipopo, wanasema maisha yake ni ya kuungaunga na hana misuli ya kiuchumi ya kuwalipa waandishi kwa pesa zake kwenye kila Press Conference anayofanya. Sasa, swali linabaki: Nani anayempa ufadhili?
Kwanza, wengi wenu mnaomfuatilia kwenye Press Conference zake mtakuwa mmeona kwamba mara nyingi anaongea mambo ambayo, kwa mtazamo wangu, hayana mantiki wala maslahi ya umma. Anaibua tuhuma, anaonekana kutetea kikundi fulani, kuonyesha chuki, na pia kuwasagia kunguni wakosoaji wa Serikali.
Tutakumbuka kwamba kipindi cha nyuma aliwahi kuwepo mtu aliyejiita mwanaharakati huru, Msiba. Je, aliishia wapi? Maisha yake yanaendeleaje kwa sasa?