Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Tangu ashabikie mambo ya miracle money kutoka baharini, nimemuwekea doubt.
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Kaka nabii wa kweli ni yupi? Wewe ni critical thinker kweli? Mbona wapenda kuwapangia watu maisha yao?
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Picha yake
 
Neno la Mungu la Mungu linasema "Angalia sana wewe udhaniaye umesimama usije anguka"

Na Neno hilohilo linaruhusu kuoonya , kukaripia na kiadibisha. Kuvaa uchi kanisani ni ujinga wa Hali ya juu. Hata bungeni Wana aina ya mavazi, lakini kanisani sehehmu takatifu njoo hata na chupi. Tukubali kukosolewa.
 
Acheni dharau nyie watu mmesoma bibilia au mnaropoka.

Bibilia inasema enendeni mkawafanye mataifa wawe wanafunzi na mataifa hawapo morogoro tu nyie ni maa agent wa shetani pastor tony kapola ni mtumishi wa mungu lakini kama mna isha endeleeni kudiscus msiyo ya jua.

Lakini pia kama ulokole ungekuwa kuvaa suti ata wazinzi suti wana aa kama mlivyo mataifa nyie mnafanaya uzinzi uku mme vaa suti suti sio utakatifu wa mtu hata mara moja tena nawaonya mbele.

Mnaacha kutafuta Mungu mna discuss kuhusu wachungaji. Niseme tu hamna maarifa na Akili hata kidogo kwasababu nyie ndio kina miliam na haruni

Mtumishi wa mungu hadiscusiwi, Pastor Tony Kapola ni mtu wa Mungu tena alie juu sio kama muwazavyo.

Mkienda mbinguni kwa ku discuss watu hamtoboi acheni kufanya uzinzi, kwanza uasherati kwanza wizi, utapeli halafu then Mungu akiwambia discuss mtumishi furani then start.
 
Ameamua kuja na WESE kama la MWAMPOSA.

Njia ya muongo ni fupi.
 
Umetumia kipimo gani kujua yuko juu kuliko tunavyomdhania ?
 
Kama wewe uliyemuona humwelewi je sisi ambao hata picha hatuna tutamuelewa?
 
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola.

Kanisa lake liko wapi ?
Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma

Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ?

Inakuaje ameungana na hawa manabii wa uongo matapeli wa zimbabwe ?
Eti kutwa Yuko dodoma/dar?
Khaaaa ila watu una uhakika?

Kwahiyo mnataka kuwapangia watu na namna ya kuvaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…