Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Mimi Naelewa kwamba madarasa tuliyokuwa tunajazana darasani ambayo hata Sasa Ni hivyo hivyo, Serikali huwa inagharamia Sana alafu mwisho wa siku huwa inaambulia kichwa kimoja au viwili tu, wengine wote wanabaki kuwa mtaji wa taifa alafu kile kichwa kimoja au viwili vinakuwa visimamizi vya mtaji au walaji wa mtaji.
Ahsante mheshimiwa mwenyekiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…