Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

kuna clip inasambaa sana mitandaoni ikimuonesha yupo faragha na Niffer yupo mjasiriamali aliyevuma bila kujulikana pesa zake zimepatikana wapi

Pastor asipojirekebisha na huu uhuni wake juu ya injili ya Bwana hatofika popote labda aanze kupita kwenye nyendo za Mwamposa

Binafsi nilikuwa namkubali sana ila nilianza kumpuuzia baada ya kuleta ubishoo kwenye injili na pale alipoanza kuforce Collabo na kina MONDI

Wakristo tunapotezwa sana na hawa madalali wa injili
 
Uhuni ni nini kwanza?...kuna vitu tunaviita uhuni ila kiuhalisia siyo uhuni hata kidogo. Tatizo kuna aina fulani ya maisha ya kumezeshwa ambayo tunaamini ndiyo ustaarabu ingawa ustaarabu ni zaidi ya kukaririshwa kuishi.

Kuvaa koti kubwa na tai muda wote suruali bwanga hakumaanishi mtu no mstaarabu au siyo muhuni, uhuni ni connotation Moja inayochukuliwa kulinda utamaduni fulani Kwa maslahi ya watu fulani na kuudhohofisha upekee na maana halisi ya kuishi.
 
Kuna yule chuma zimeandinkwa DALE
Wachungaji Wana drip kali na pesa balaa.
 
Back
Top Bottom