Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

Habari.

Siongei kwa ubaya ni nani anayemuelewa Pastor Tony Kapola juu ya.
° Uvaaji wake
° mahubiri yake hasa Yale ya kusema anataka kufanya collaboration na diamond
° usela usela uhuni mwingi.

Je, tunajifunza nini Vijana wa sasa.
Ni muhuni amewateka akina dada
 
Namkubali mafundisho yake..mwili wake..ubishoo wake hizo ni external factors tuu...
 
as pure catholic and charismatic fella, wahubiri nje ya wakatoliki ninayemuelewa ni Mwakasege and none only.
 
Hayu jamaa ni motivesheni spika aliyechomekea uchungaji ili apige sadaka
Sasa hivi makanisa yanalipa sana
 
Habari.

Siongei kwa ubaya ni nani anayemuelewa Pastor Tony Kapola juu ya.
° Uvaaji wake
° mahubiri yake hasa Yale ya kusema anataka kufanya collaboration na diamond
° usela usela uhuni mwingi.

Je, tunajifunza nini Vijana wa sasa.
Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom