Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Hapa kuna tatizo gani
Hapa kuna tatizo gani
Bongo ukiwa Lopolopo na kujitoa ufahamu unapiga hela za MAZOMBIE.Habari.
Siongei kwa ubaya ni nani anayemuelewa Pastor Tony kapola juu ya.
°Uvaaji wake
°mahubiri yake hasa Yale ya kusema anataka kufanya collaboration na diamond
°usela usela uhuni mwingi.
Je tunajifunza nini Vijana wa sasa.
Ni kweliJamaa hana tatzo kabisa bt yule si mchungaji bali motivation speaker tu wa kutumia Neno la Mungu bs.
NB: huu ni mtazamo wangu.
[emoji23][emoji23] J weweImebidi nimgoogle manake sikuwa namjua
[emoji23][emoji23] J wewe
🤔🤔🤔🤔
Mbona kama mgonjwa?
Unamwelewa Sana kuliko Nani?Mie namwelewa sana
Huyu anafaa kupiga nae deal ,kaa kijanja janja