Na wote wa mhuri unawakilisha maudhui na mipaka ya nafasi zao, kila mmoja ana majukumu yake.Mtendaji ni mtumishi wa serikali
Mwenyekiti ni mtumishi wa chama
Sio sababu ya kuwa mmiliki wa muhuri wa serikali ya kijijiMtendaji maana na mshahara analipwa na serikali
Sio mtumishi wa Chama ni muwakilishi wa wananchiMtendaji ni mtumishi wa serikali
Mwenyekiti ni mtumishi wa chama
Wote wana tambulika na serikali na wana madaraka yanayo tambulika na wamepewa hiyo mihuriMtendaji ndo official anaetambuliwa na serikali mkuu hawa wenyeviti wahuni wahuni tu
Una uelewa mdogo mhuri Unatakiwa kuepo kwa mtendaji wa kijiji. Sio mwenyekiti yupo tuu pale Kwa mambo ya kisiasa tuu ila kiutendaji ni mtendaji wa kijiji tuu . Mtendaji kaajiliwa na serikali ni mtumishi wa serikali kosa lolote lile anawajibishwa Kwa kutumia Sheria na kanuni za kiutumishi......Mwenye mamlaka na serikali ya kijiji ni mwenyekiti wa kijiji
Hivyo yeye ana takiwa kuwa na muhuri huo, japo siku hizi wana pewa kwa mashart sababu wana fanya mambo tofauti kupelekea migogoro kwa maslahi binafsi
Mwenyekiti wa kijiji ni Boss katika kijiji, ni kiongozi wa wananchi
Ana wawakilisha wananchi hivyo ndio mwenye serikali yake
Ni kama diwani katika kata ambaye anaweza muwajibisha mtumishi wa kuajiriwa
Na baraza la madiwani wana weza chukua hatua stahiki dhidi ya watumishi wa kuajiriwa
Hivyo kuwepo kwa hawa watu wa kuchaguliwa na wananchi ni kwa makusudi mazima ili waweze kuisimamia serikali kama walivyo wale wabunge pale bungeni wanavyo isimamia serikali na ndio wana wawakilisha wananchi
Serikali ni ya wananchi kumbuka hilo kwa nazani katiba 1977 imenena vyema
Siwezi bishana na mtu mwenye uelewa mkubwa...Una uelewa mdogo mhuri Unatakiwa kuepo kwa mtendaji wa kijiji. Sio mwenyekiti yupo tuu pale Kwa mambo ya kisiasa tuu ila kiutendaji ni mtendaji wa kijiji tuu . Mtendaji kaajiliwa na serikali ni mtumishi wa serikali kosa lolote lile anawajibishwa Kwa kutumia Sheria na kanuni za kiutumishi......
Wenyeviti hawa wa ccm waliopitishwa na jpma,wahuni tu hakuna viongozi mule.