Kwanza hujui Kiswahili; ni tafadhali. Pili kikatiba ni mwenyekiti wa Kijiji na anamiliki kijiji kama Mkuu wa Mkoa anavyomiliki mkoa na Rais kumiliki nchi ya Tanzania.Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti.
Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Serikali ya Kijiji, ambayo huwa inakuwa na namba ya Kijiji (namba ya usajili wa Kijiji).
Majibu tafadhari 🙏🏾.
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti.
Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Serikali ya Kijiji, ambayo huwa inakuwa na namba ya Kijiji (namba ya usajili wa Kijiji).
Majibu tafadhari 🙏🏾.
View attachment 2511126
Huu ni muhuri wa afisa mtendaji, umejieleza vyema kabisa ni mtendaji na kijiji chake na wilaya yake...
View attachment 2511127
Huu ni muhuri wa mwenyekiti wa mtaa/kijiji ambao umejieleza vyema kabisa ni muhuri wa mwenyekiti wa mtaa/kijiji fulani katika wilaya fulani
Shida ni kuona wenyeviti ni kama wapo tu hawana maana yoyote kisa sio waajiriqa wa kudumu kwa kuwa nafasi zao zina tokana na nafasi za kisiasa
Elimu ndogo sana kwa wadau, sababu Kila mtu ana muhuri wake hivyo kutaka kuchukua muhuri wa mwingine ni kuonesha una tatizo sehemu
Bwana Chawa Chila hebu tuelimishe..ni ktk mazingira gani Mihuri hii Inatumika ...wa Mwenyekiti na Mtenfaji?!Jiandae mwaka huu na wewe uapishwe na SSH kazi iendelee
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
Mama, Mtendaji ni mtumishi wa mwenyekiti! Au Ngazi ya mkoa Mkuu wa mkoa na RAS; au kitaifa Rais na Chief SecretaryMtendaji
Wewe ndo hujui kabisa.Mwenye mamlaka na serikali ya kijiji ni mwenyekiti wa kijiji
Hivyo yeye ana takiwa kuwa na muhuri huo, japo siku hizi wana pewa kwa mashart sababu wana fanya mambo tofauti kupelekea migogoro kwa maslahi binafsi
Mwenyekiti wa kijiji ni Boss katika kijiji, ni kiongozi wa wananchi
Ana wawakilisha wananchi hivyo ndio mwenye serikali yake
Ni kama diwani katika kata ambaye anaweza muwajibisha mtumishi wa kuajiriwa
Na baraza la madiwani wana weza chukua hatua stahiki dhidi ya watumishi wa kuajiriwa
Hivyo kuwepo kwa hawa watu wa kuchaguliwa na wananchi ni kwa makusudi mazima ili waweze kuisimamia serikali kama walivyo wale wabunge pale bungeni wanavyo isimamia serikali na ndio wana wawakilisha wananchi
Serikali ni ya wananchi kumbuka hilo kwa nazani katiba 1977 imenena vyema
by-laws?Mnagombea mihuri? Soma by-laws.
... hoja ya jamaa ni sawa na kuuliza DC na DED nani mmiliki wa mihuri? DED ndiye mtendaji; DC ni political figure tu yule. Au Waziri vs Katibu Mkuu; Katibu MKuu ndiye mtendaji wa Wizara.Mwenye mamlaka na serikali ya kijiji ni mwenyekiti wa kijiji
Hivyo yeye ana takiwa kuwa na muhuri huo, japo siku hizi wana pewa kwa mashart sababu wana fanya mambo tofauti kupelekea migogoro kwa maslahi binafsi
Mwenyekiti wa kijiji ni Boss katika kijiji, ni kiongozi wa wananchi
Ana wawakilisha wananchi hivyo ndio mwenye serikali yake
Ni kama diwani katika kata ambaye anaweza muwajibisha mtumishi wa kuajiriwa
Na baraza la madiwani wana weza chukua hatua stahiki dhidi ya watumishi wa kuajiriwa
Hivyo kuwepo kwa hawa watu wa kuchaguliwa na wananchi ni kwa makusudi mazima ili waweze kuisimamia serikali kama walivyo wale wabunge pale bungeni wanavyo isimamia serikali na ndio wana wawakilisha wananchi
Serikali ni ya wananchi kumbuka hilo kwa nazani katiba 1977 imenena vyema
... by-laws ndio.by-laws?
Wewe ni mtu wa chama . Mimi ni mwajiriwa wa serikali wa halmashauri. Nakupatia taratibu jinsi kazi zinavyofanyika. Kama kazi za kijijini especially zinazohitaji mhuri zitafanywa na mwenyekiti hakuna haja serikali kuajiri mtendaji wa kijijiSiwezi bishana na mtu mwenye uelewa mkubwa...
Level zangu ni kwa wenye uelewa mdogo, wanao tambua mamlaka za serikali za mitaa kwa sheria zake
Wanao tambua majukumu ya kila mmoja katika kijiji
Pia wanao fahamu agizo la waziri wa tamisemi simbachawene kipindi hicho kwanini alilitengua? Sababu alikuwa kinyume na sheria, Ali kosa nguvu kisheria kufanya hivyo
Kuwa mtumishi wa umma wewe mtendaji hakukupi mamlaka ya kumiliki muhuri wa shule ya msingi Au kituo cha afya
Nipo hapa kuwa eleza wenye uelewa mdogo sipo hapa kubishana ewe mwenye uelewa mkubwa ambaye unaelewa ni vyema ukabakia hivyo hivyo na huo uelewa
Ila nakushauri, pata muda wa kujielimisha kuhusu serikali za mitaa, ili eneo usije kwa kukurupuka siku nyingine wakati hakuna unacho kifahamu
Acha kudanganya umma. Anakuaje Rais wa kijiji wakati hana mamlaka ya kumuwajibisha VEO wake. Dola iko kwa VEOMwenyekiti ni kama Rais wa kijiji.
Bro usiuziwe kiwanja ukapigiwa muhuri wa mtendaji wa kijiji, wew jua umepigwa hapo mkuu...Wote wana tambulika na serikali na wana madaraka yanayo tambulika na wamepewa hiyo mihuri
Mwenyekiti wa kijiji ana wake
Mtendaji wa kijiji ana wake pia
Hivyo wote wana tambulika na wana fanya kazi ktk eneo Au mamlaka inayo tambulika chini ya sheria za serikali za mitaa na nchi kwa ujumla wake
Huyo VEO na hata Rais hawawezi kumuwajibisha Mwenyekiti wa kijiji. Kijiji ni serikali kamili, yenye mammalaka na ardhi.Acha kudanganya umma. Anakuaje Rais wa kijiji wakati hana mamlaka ya kumuwajibisha VEO wake. Dola iko kwa VEO
Hutumika tu baaada ya mkutano mkuu kuazimia jambo, au serikali ya kijiji kuazimia jambo,,,,,kifupi hutumika kwenye mihutasali halali ambayo veo na m/kiti wameisain, hapa ndipo muhuri w serikali ya kijiji hutumika tuBwana Chawa Chila hebu tuelimishe..ni ktk mazingira gani Mihuri hii Inatumika ...wa Mwenyekiti na Mtenfaji?!
Wenyekiti ni wazawa, unoko wao una kipimo, hawa watendaji ni wanoko kuliko kawaida.Mtendaji ndo official anaetambuliwa na serikali mkuu hawa wenyeviti wahuni wahuni tu