mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
Kwanza Kabisa mimi ni mshabiki wa Yanga, lakini kuna jambo moja linaweza kuonekana lipo vizuri lakini linakwaza. Nimeshalipia App ya Yanga Mara 3 lakin sipati access ya kusoma habari za yanga.
Kwa maana ya kwamba ukilipia bado ukiingia kwenye app haitambui malipo yako na bado itakudai ulipie tena. Nishajaribu zaidi ya Mara tatu bila mafanikio.
Nikasema niende kuangalia Reviews Google Play Store. Nimesikitishwa kuona kumbe ni kitu ambacho Kinalalamikiwa na watumiaje wengine wengi tu. Nikajuliza, hivi ni nani anasimamia hii YANGA APP? Je hasomii hizi Reviews?
Viongozi hebu shugulikieni swala la yanga App na muangalie vitu vifuatavyo.
1) Kwanini Ukilipia bado huwezi kupata habari unaambiwa usubscribe tena.
2) Google play store Reviews pia ziko wazi kila mtu analalamika kitu hichohicho.
3) Hakuna support contacts/Mawasiliano kwenye app kama mtu anapata changamoto yoyote airipoti huko
4) Kama kuna shida basi iwe free kwa sasa kuliko kuchukue hela ya mtu nila service kupata, binafsi nawadai 6k yangu.
Reviews za Playstore ni kama hizi hapa.