Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi.

Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja.

Sasa swali langu ni nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

A. H.E Paul Kagame Rais wa Rwanda
B. H.E Dk. William Ruto Rais wa Kenya
C. H.E Yowel Museven Rais wa Uganda
D. H.E Evariste Ndayishimiye Rais wa Burundi
E. H.E Dk. Hussein Mwinyi Rais wa
Zanzibar
F. H.E Samia Hassani Rais wa Tanzania
G. H.E Salva Kiir Rais wa Sudani Kusini
H. H.E Felix Tshekedi Rais wa DRC
I. H.E Hassan Sheikh Mohamud Rais wa Somalia

NOTE:
Naomba mods kama hawatojali, watuwekee ile setting ya kuonesha asilimia
Mie naona huyo wa somalia anatufaa
 
Hilo halitowezekana kwa miaka ya hivi karibuni, Kenya na Rwanda ni wabinafsi mno.
 
Back
Top Bottom