Nani anastahili na kwanini kuwa player of the year epl msimu wa 2018/2019

Nani anastahili na kwanini kuwa player of the year epl msimu wa 2018/2019

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?

Leo wametangaza nominees ya player of the year epl .mshindi atatangazwa April 28 2019.

List kama ifuatavyo hapo chini wanaogombania hiyo nafasi.

IMG_5127.JPG


IMG_5128.JPG


IMG_5129.JPG


IMG_5130.JPG


IMG_5131.JPG


IMG_5132.JPG


Nani anastahili kuwa mchezaji bora wa epl msimu wa 2018/2019.

Kwa upande wangu me naona VVD huyu beki wa Liverpool

Kwa sababu huyu beki ndio beki Bora kwa sasa duniani .hao wengine kwa nafasi zao msimu huu kwa viwango walivyoonesha hawajafikia level ya kuwa bora kidunia .huo ni mtazamo wangu weka na wakwako hapo chini .

kwa wale ambao awajaangalia mechi za Liverpool hakuna mchezaji aliyeweza kumpita huyu beki mpaka sasa na kwenda kufunga mpaka sasa yaani na maanisha hakuna mchezaji yoyote aliyempiga chenga akaenda kufunga.

Ameisaidia defense ya Liverpool mpaka sasa epl imefungwa goli moja tu la mpira wa kona,ilikuwa mechi na burnley tu. Amesaidia liverpool mpaka sasa imeruhusu goli 20 tu ndio timu iliyoruhusu goli chache epl mpaka sasa.

Mipira yote ya kona anaruka yeye tu.kingine anafunga na anatoa assist ya magoli.


Kwa upande wako mchezaji gani anastahili na kwanini?
Vizuri ukaweka na sababu ili kila mtu aelewa ubora wa mchezaji uliemtaja.

Ni hayo tu wakuu nawasilisha.

Pasaka njema wakuu
 
Wamemuweka hazard af aubemeyang hawajamuweka huku stats za team na individually auba yupo juu ya huyo mbilikimo, by the way mchezaj wangu bora wa msimu ni huyo mniga sadio mane
 
Wamemuweka hazard af aubemeyang hawajamuweka huku stats za team na individually auba yupo juu ya huyo mbilikimo, by the way mchezaj wangu bora wa msimu ni huyo mniga sadio mane
Araenal haipendwi uingereza, sijui Wenger aliwafanyaga kitu mbaya gani? Sio pundits wala media? Yaani pundit labda awe alichezea arsenal. Hata FA nafikiri hawaipendagi arsenal. Wenger nafikiri hakupaka mashine mafuta, aliwachuchumalisha ile ya kifaransa kavu kavu.
 
Raheem Sterling naona anastahili! Msimu huu unaweza sema kwenye attacking force ya m city yy ndo jiwe kuu la pembeni! Ameshafunga goli 17 na assist 9, amekua kwnye kiwango bora na mara nying ameku akihamua mechi! Ni mpambanaji hasa huyu dogo
 
Tuwape heshima yao Mabeki awamu hii... List ya watu 6 beki ni mmoja tu.
Soka la siku hizi wanataka hadi beki afunge na kupandisha timu, sijui kukaba amuachie nani?
Twende na VVD.
 
Wamemuweka hazard af aubemeyang hawajamuweka huku stats za team na individually auba yupo juu ya huyo mbilikimo, by the way mchezaj wangu bora wa msimu ni huyo mniga sadio mane
Ukitumia stats pekee zitakuambia kuwa hata Ozil amemzidi sana Iniesta katika maisha yao yote ya soka
 
Bahati nzuri hii wapiga kura ni professional footballers wenyewe. They know a thing or two about kabumbu
 
duniani bwana leo eti vvd hapewe mchezaji bora PFA daah mpira hunapotea
#sterling
 
Back
Top Bottom